Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mwanzo 6:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 Katika vyote virukavyo kwa jinsi yake, na kila namna ya mnyama kwa jinsi yake, kila kitambaacho juu ya nchi kwa jinsi yake, wawili wa kila namna watakuja kwako ili uwahifadhi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 “Utaingiza kila aina ya ndege wa angani, kila aina ya mnyama, kila aina ya kiumbe kitambaacho, wawiliwawili, ili kuwahifadhi hai.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 “Utaingiza kila aina ya ndege wa angani, kila aina ya mnyama, kila aina ya kiumbe kitambaacho, wawiliwawili, ili kuwahifadhi hai.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 “Utaingiza kila aina ya ndege wa angani, kila aina ya mnyama, kila aina ya kiumbe kitambaacho, wawiliwawili, ili kuwahifadhi hai.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Wawili wa kila aina ya ndege, wa kila aina ya mnyama, na wa kila aina ya kiumbe kinachotambaa ardhini watakuja kwako ili wahifadhiwe hai.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Wawili wa kila aina ya ndege, wa kila aina ya mnyama na wa kila aina ya kitambaacho ardhini watakuja kwako ili wahifadhiwe hai.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 6:20
7 Marejeleo ya Msalaba  

Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuimiliki; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.


BWANA Mungu akafanyiza kutoka katika ardhi kila mnyama wa msituni, na kila ndege wa angani, akamletea Adamu ili aone atawaitaje; kila kiumbe hai, jina alilokiita Adamu likawa ndilo jina lake.


Tena katika ndege wa angani saba saba, wa kike na wa kiume; ili kuhifadhi hai mbegu juu ya uso wa nchi yote.


Wala hamtaki kuja kwangu mpate kuwa na uzima.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo