Mwanzo 6:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Dunia ikaharibika mbele za Mungu, dunia ikajaa dhuluma. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Mungu aliiona dunia kuwa imeharibika na kujaa ukatili. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Mungu aliiona dunia kuwa imeharibika na kujaa ukatili. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Mungu aliiona dunia kuwa imeharibika na kujaa ukatili. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Wakati huu dunia ilikuwa imejaa uharibifu na ukatili machoni pa Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Wakati huu dunia ilikuwa imejaa uharibifu na ukatili machoni pa Mungu. Tazama sura |