Mwanzo 6:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Binadamu walipozidi kuongezeka duniani na kuzaa wasichana, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Binadamu walipozidi kuongezeka duniani na kuzaa wasichana, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Binadamu walipozidi kuongezeka duniani na kuzaa wasichana, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Idadi ya watu ilipoanza kuongezeka duniani, na watoto wa kike wakazaliwa kwao, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Watu walipoanza kuongezeka idadi katika uso wa dunia na watoto wa kike wakazaliwa kwao, Tazama sura |