Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mwanzo 50:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

26 Basi Yusufu akafa, mwenye miaka mia moja na kumi; wakampaka dawa, wakamtia katika sanduku, huko Misri.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Basi, Yosefu akafariki kule Misri, akiwa na umri wa miaka 110. Nao wakaupaka mwili wake dawa usioze, wakauweka katika jeneza kule Misri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Basi, Yosefu akafariki kule Misri, akiwa na umri wa miaka 110. Nao wakaupaka mwili wake dawa usioze, wakauweka katika jeneza kule Misri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Basi, Yosefu akafariki kule Misri, akiwa na umri wa miaka 110. Nao wakaupaka mwili wake dawa usioze, wakauweka katika jeneza kule Misri.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Kwa hiyo Yusufu akafa akiwa na umri wa miaka mia moja na kumi. Baada ya kumtia dawa asioze, akawekwa kwenye jeneza huko Misri.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Kwa hiyo Yusufu akafa akiwa na umri wa miaka 110. Baada ya kumtia dawa ili asioze, akawekwa kwenye jeneza huko Misri.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 50:26
7 Marejeleo ya Msalaba  

Abrahamu aliishi miaka mia moja na sabini na mitano.


Yakobo akaishi katika nchi ya Misri miaka kumi na saba, basi umri wake Yakobo ulikuwa miaka mia moja na arubaini na saba.


Yakobo akamjibu Farao, Siku za kuishi kwangu ni miaka mia moja na thelathini; siku za maisha yangu zimekuwa chache, tena za taabu, wala hazikufikia siku za maisha ya baba zangu katika siku za kuishi kwao.


Yusufu Akakaa katika Misri, yeye na nyumba ya baba yake. Yusufu Akaishi miaka mia moja na kumi.


Yusufu akafa, na ndugu zake wote, na watu wote wa kizazi kile.


Ikawa, baada ya hayo, Yoshua, mwana wa Nuni, mtumishi wa BWANA, akafa, mwenye umri wa miaka mia moja na kumi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo