Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mwanzo 50:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

16 Wakatuma watu kwa Yusufu, kunena, Baba yako alitoa amri kabla ya kufa kwake, akasema,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Kwa hiyo wakampelekea Yosefu ujumbe, wakisema, “Baba yako, kabla hajafariki, aliagiza hivi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Kwa hiyo wakampelekea Yosefu ujumbe, wakisema, “Baba yako, kabla hajafariki, aliagiza hivi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Kwa hiyo wakampelekea Yosefu ujumbe, wakisema, “Baba yako, kabla hajafariki, aliagiza hivi,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Kwa hiyo wakampelekea Yusufu ujumbe, wakasema, “Kabla baba yako hajafa aliacha maagizo haya:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Kwa hiyo wakampelekea Yusufu ujumbe, wakasema, “Kabla baba yako hajafa aliacha maagizo haya:

Tazama sura Nakili

Mwanzo 50:16
3 Marejeleo ya Msalaba  

Ndugu zake Yusufu walipoona ya kwamba baba yao amekufa, walisema, Labda Yusufu atatuchukia; naye atatulipa maovu yetu tuliyomtenda.

Mwambieni Yusufu hivi, Naomba uwasamehe ndugu zako kosa lao na dhambi yao, maana walikutenda mabaya; sasa twakuomba utusamehe kosa la watumishi wa Mungu wa baba yako. Yusufu akalia waliposema naye.

Kuwaogopa wanadamu huleta mtego; Bali amtumainiye BWANA atakuwa salama.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo