Mwanzo 5:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Siku zote za Sethi ni miaka mia tisa na kumi na miwili, akafa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Sethi alifariki akiwa na umri wa miaka 912. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Sethi alifariki akiwa na umri wa miaka 912. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Sethi alifariki akiwa na umri wa miaka 912. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Sethi aliishi jumla ya miaka mia tisa na kumi na mbili (912), ndipo akafa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Sethi aliishi jumla ya miaka 912, ndipo akafa. Tazama sura |