Mwanzo 5:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Lameki akaishi miaka mia moja na themanini na miwili, akazaa mwana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Wakati Lameki alipokuwa na umri wa miaka 182, alimzaa mtoto wa kiume. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Wakati Lameki alipokuwa na umri wa miaka 182, alimzaa mtoto wa kiume. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Wakati Lameki alipokuwa na umri wa miaka 182, alimzaa mtoto wa kiume. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Lameki alipokuwa ameishi miaka mia moja na themanini na mbili (182), alimzaa mwana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Lameki alipokuwa ameishi miaka 182, alimzaa mwana. Tazama sura |