Mwanzo 49:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Yusufu ni mti mchanga wenye kuzaa, Mti mchanga wenye kuzaa karibu na chemchemi, Matawi yake yametanda ukutani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 “Yosefu ni kama mti uzaao, mti uzaao kando ya chemchemi, matawi yake hutanda ukutani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 “Yosefu ni kama mti uzaao, mti uzaao kando ya chemchemi, matawi yake hutanda ukutani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 “Yosefu ni kama mti uzaao, mti uzaao kando ya chemchemi, matawi yake hutanda ukutani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 “Yusufu ni mzabibu uzaao, mzabibu uzaao ulio kando ya chemchemi, ambao matawi yake hutanda ukutani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 “Yusufu ni mzabibu uzaao, mzabibu uzaao ulio kando ya chemchemi, ambao matawi yake hutanda ukutani. Tazama sura |