Mwanzo 49:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Asheri, chakula chake kitakuwa kinono, Naye atatoa tunu za kifalme. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 “Ardhi ya Asheri itatoa mavuno kwa wingi, naye atatoa chakula kimfaacho mfalme. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 “Ardhi ya Asheri itatoa mavuno kwa wingi, naye atatoa chakula kimfaacho mfalme. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 “Ardhi ya Asheri itatoa mavuno kwa wingi, naye atatoa chakula kimfaacho mfalme. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 “Chakula cha Asheri kitakuwa kinono, naye atatoa chakula kitamu kinachomfaa mfalme. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 “Chakula cha Asheri kitakuwa kinono, naye atatoa chakula kitamu kimfaacho mfalme. Tazama sura |