Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 49:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

19 Gadi, jeshi litamsonga, Lakini atawasonga wao mpaka visigino.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 “Gadi atashambuliwa na wanyanganyi, lakini yeye atawafuata nyuma na kuwashambulia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 “Gadi atashambuliwa na wanyanganyi, lakini yeye atawafuata nyuma na kuwashambulia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 “Gadi atashambuliwa na wanyang'anyi, lakini yeye atawafuata nyuma na kuwashambulia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 “Gadi atashambuliwa ghafula na kundi la washambuliaji, lakini yeye atawageukia na kuwashinda kabisa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 “Gadi atashambuliwa ghafula na kundi la washambuliaji, lakini yeye atawageukia na kuwashinda kabisa.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 49:19
11 Marejeleo ya Msalaba  

Lea akasema, Bahati njema! Akamwita jina lake Gadi.


Na wana wa Gadi; Sefoni, na Hagi, na Shuni, na Esboni, na Eri, na Arodi, na Areli.


Asheri, chakula chake kitakuwa kinono, Naye atatoa tunu za kifalme.


Ezeri mkubwa wao, Obadia wa pili, Eliabu wa tatu;


Naye Mungu wa Israeli akamwamsha roho Pulu, mfalme wa Ashuru, yaani roho ya Tiglath-Pileseri, mfalme wa Ashuru, naye akawachukua mateka hao Wareubeni, na Wagadi, na nusu kabila ya Wamanase; akawaleta mpaka Hala, na Habori, na Hara, na mpaka mto wa Gozani, hata siku hii ya leo.


Pamoja na yeye, Wareubeni na Wagadi walipata urithi wao, waliopewa na Musa, huko ng'ambo ya Yordani upande wa mashariki, vile vile kama huyo Musa mtumishi wa BWANA alivyowapa;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo