Mwanzo 49:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Zabuloni atakaa pwani ya bahari, Naye atakuwa kama pwani za kuegesha merikebu, Na mpaka wake utakuwa kando ya Sidoni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 “Zebuluni ataishi sehemu za pwani, pwani yake itakuwa mahali pa kuegesha meli. Nchi yake itapakana na Sidoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 “Zebuluni ataishi sehemu za pwani, pwani yake itakuwa mahali pa kuegesha meli. Nchi yake itapakana na Sidoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 “Zebuluni ataishi sehemu za pwani, pwani yake itakuwa mahali pa kuegesha meli. Nchi yake itapakana na Sidoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 “Zabuloni ataishi pwani ya bahari na kuwa bandari za kuegesha meli; mpaka wake utapanuka kuelekea Sidoni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 “Zabuloni ataishi pwani ya bahari na kuwa bandari za kuegesha meli; mpaka wake utapanuka kuelekea Sidoni. Tazama sura |