Mwanzo 47:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Yusufu akamleta Yakobo babaye ndani akamweka mbele ya Farao, Yakobo akambariki Farao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Kisha, Yosefu akamleta baba yake Yakobo kumwamkia Farao; naye Yakobo akampa Farao baraka zake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Kisha, Yosefu akamleta baba yake Yakobo kumwamkia Farao; naye Yakobo akampa Farao baraka zake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Kisha, Yosefu akamleta baba yake Yakobo kumwamkia Farao; naye Yakobo akampa Farao baraka zake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Ndipo Yusufu akamleta Yakobo baba yake na kumtambulisha mbele ya Farao. Baada ya Yakobo kumbariki Farao, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Ndipo Yusufu akamleta Yakobo baba yake na kumtambulisha mbele ya Farao. Baada ya Yakobo kumbariki Farao, Tazama sura |