Mwanzo 47:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Akatwaa watu watano miongoni mwa nduguze, akawasimamisha mbele ya Farao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Yosefu alikuwa amewachukua ndugu zake watano, akawajulisha kwa Farao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Yosefu alikuwa amewachukua ndugu zake watano, akawajulisha kwa Farao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Yosefu alikuwa amewachukua ndugu zake watano, akawajulisha kwa Farao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Akawachagua ndugu zake watano na kuwapeleka mbele ya Farao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Akachagua ndugu zake watano na kuwaonyesha kwa Farao. Tazama sura |