Mwanzo 47:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Wakaleta wanyama wao kwa Yusufu; Yusufu akawapa chakula kwa kubadilisha na farasi, kondoo, ng'ombe na punda, naye akawalisha chakula badala ya wanyama wao wote mwaka ule. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Ndipo wakamletea Yosefu mifugo yao: Farasi, ng'ombe, kondoo, mbuzi na punda, naye akawapa chakula. Mwaka huo Yosefu akawa anawapa chakula kwa kubadilishana na mifugo yao yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Ndipo wakamletea Yosefu mifugo yao: Farasi, ng'ombe, kondoo, mbuzi na punda, naye akawapa chakula. Mwaka huo Yosefu akawa anawapa chakula kwa kubadilishana na mifugo yao yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Ndipo wakamletea Yosefu mifugo yao: farasi, ng'ombe, kondoo, mbuzi na punda, naye akawapa chakula. Mwaka huo Yosefu akawa anawapa chakula kwa kubadilishana na mifugo yao yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Kwa hiyo wakaleta mifugo yao kwa Yusufu, naye akawapa chakula kwa kubadilishana na farasi, kondoo na mbuzi, ng’ombe, na punda wao. Katika mwaka huo wote Yusufu akawapa chakula kwa kubadilishana na mifugo yao yote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Kwa hiyo wakaleta mifugo yao kwa Yusufu, naye akawapa chakula kwa kubadilishana na farasi zao, kondoo na mbuzi zao, ng’ombe na punda zao. Katika mwaka huo wote Yusufu akawapa chakula kwa kubadilishana na mifugo yao yote. Tazama sura |