Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 46:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

8 Haya ndiyo majina ya wana wa Israeli walioingia Misri, Yakobo na wanawe: Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Yakobo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Wazawa wa Israeli ambao walikwenda Misri pamoja naye walikuwa Reubeni, mzaliwa wake wa kwanza,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Wazawa wa Israeli ambao walikwenda Misri pamoja naye walikuwa Reubeni, mzaliwa wake wa kwanza,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Wazawa wa Israeli ambao walikwenda Misri pamoja naye walikuwa Reubeni, mzaliwa wake wa kwanza,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Haya ndiyo majina ya wana wa Israeli (Yakobo na wazao wake), walioenda Misri: Reubeni mzaliwa wa kwanza wa Yakobo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Haya ndiyo majina ya wana wa Israeli (Yakobo na wazao wake), waliokwenda Misri: Reubeni mzaliwa wa kwanza wa Yakobo.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 46:8
15 Marejeleo ya Msalaba  

Lea akapata mimba akazaa mwana, akampa jina lake, Reubeni, maana alisema, Kwa kuwa BWANA ameona mateso yangu; sasa mume wangu atanipenda.


Wanawe, na wana wa wanawe, pamoja naye, binti zake na binti za wanawe, na uzao wake wote, aliwaleta pamoja naye mpaka Misri.


Na wana wa Reubeni; Hanoki, na Palu, na Hesroni, na Karmi.


Haya ndiyo majina ya wanaume watakaokusaidia; Wa Reubeni; Elisuri mwana wa Shedeuri.


Reubeni na aishi, asife; Lakini watu wake na wawe wachache.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo