Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 46:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

7 Wanawe, na wana wa wanawe, pamoja naye, binti zake na binti za wanawe, na uzao wake wote, aliwaleta pamoja naye mpaka Misri.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Wanawe, wajukuu wake wa kiume na wa kike, wote akawaleta Misri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Wanawe, wajukuu wake wa kiume na wa kike, wote akawaleta Misri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 wanawe, wajukuu wake wa kiume na wa kike, wote akawaleta Misri.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Akawachukua wanawe na binti zake, wajukuu wake wa kiume na wa kike, yaani uzao wake wote hadi Misri.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Akawachukua wanawe na binti zake, wajukuu wake wa kiume na wa kike, yaani uzao wake wote mpaka Misri.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 46:7
9 Marejeleo ya Msalaba  

Wanawe Yakobo waliposikia hayo, wakaja kutoka malishoni; nao wakasikitika sana, wakakasirika mno, kwa sababu amefanya upumbavu katika Israeli kwa kulala na binti Yakobo, jambo lisilostahili kutendeka.


Wakatwaa na wanyama wao, na mali zao walizokuwa wamepata katika nchi ya Kanaani, wakaja Misri, Yakobo na uzao wake wote pamoja naye.


Haya ndiyo majina ya wana wa Israeli walioingia Misri, Yakobo na wanawe: Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Yakobo.


Israeli naye akaingia Misri, Yakobo akawa mgeni katika nchi ya Hamu.


Maana Bwana MUNGU asema hivi, Watu wangu hapo kwanza walishuka Misri ili wakae huko kama wageni; na Mwashuri akawaonea bila sababu.


jinsi baba zetu walivyoteremkia Misri, nasi tulikaa Misri muda mrefu, nao Wamisri walitutenda vibaya sana, na baba zetu pia;


Usimchukie Mwedomi; kwa kuwa ni ndugu yako; usimchukie Mmisri, kwa kuwa ulikuwa mgeni katika nchi yake.


Nawe ujibu, ukaseme mbele za BWANA, Mungu wako, Baba yangu alikuwa Mwarami karibu na kupotea, akashuka Misri, akakaa huko ugenini, nao ni wachache hesabu yao; akawa taifa kubwa huko, yenye nguvu na watu wengi.


Kisha nikampa huyo Isaka, Yakobo na Esau; nami nikampa Esau mlima Seiri aumiliki; Yakobo na watoto wake wakashuka Misri.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo