Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mwanzo 46:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

33 Itakuwa Farao atakapowaita, na kuwauliza, Kazi yenu ni nini?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 Basi, Farao akiwaita na kuwaulizeni, ‘Kazi yenu ni nini?’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 Basi, Farao akiwaita na kuwaulizeni, ‘Kazi yenu ni nini?’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 Basi, Farao akiwaita na kuwaulizeni, ‘Kazi yenu ni nini?’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 Farao atakapowaita na kuwauliza, ‘Kazi yenu ni nini?’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 Farao atakapowaita na kuwaulizeni, ‘Kazi yenu ni nini?’

Tazama sura Nakili




Mwanzo 46:33
3 Marejeleo ya Msalaba  

Na watu hao ni wachungaji, maana wamekuwa watu wa kuchunga wanyama, nao wameleta kondoo zao, na ng'ombe zao, na yote waliyo nayo.


Ndipo wakamwambia, Tafadhali utuambie, wewe ambaye mabaya haya yametupata kwa sababu yako; kazi yako ni kazi gani? Nawe umetoka wapi? Nchi yako ni nchi ipi? Nawe u mtu wa kabila gani?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo