Mwanzo 46:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Yakobo akamtuma Yuda mbele yake kwa Yusufu, ili amwongoze njia mpaka Gosheni. Wakaja mpaka nchi ya Gosheni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Yakobo akamtanguliza Yuda kwa Yosefu kumwomba waonane huko Gosheni; nao wakafika katika eneo la Gosheni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Yakobo akamtanguliza Yuda kwa Yosefu kumwomba waonane huko Gosheni; nao wakafika katika eneo la Gosheni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Yakobo akamtanguliza Yuda kwa Yosefu kumwomba waonane huko Gosheni; nao wakafika katika eneo la Gosheni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Basi Yakobo akamtanguliza Yuda aende kwa Yusufu ili amwelekeze njia ya Gosheni. Walipofika nchi ya Gosheni, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Basi Yakobo akamtanguliza Yuda aende kwa Yusufu ili amwelekeze njia ya Gosheni. Walipofika nchi ya Gosheni, Tazama sura |