Mwanzo 46:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Hao ndio wana wa Raheli, aliomzalia Yakobo, wote walikuwa watu kumi na wanne. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Watu hao kumi na wanne ni watoto na wajukuu wa Yakobo na Raheli, mkewe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Watu hao kumi na wanne ni watoto na wajukuu wa Yakobo na Raheli, mkewe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Watu hao kumi na wanne ni watoto na wajukuu wa Yakobo na Raheli, mkewe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Hawa ndio wana wa Raheli aliomzalia Yakobo; jumla yao ni kumi na wanne. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Hawa ndio wana wa Raheli aliomzalia Yakobo; jumla yao ni kumi na wanne. Tazama sura |