Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 46:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 Walizaliwa kwake Yusufu katika nchi ya Misri, Manase na Efraimu, aliomzalia Asenathi binti Potifera, kuhani wa Oni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Huko Misri, Asenathi, binti Potifera, aliyekuwa kuhani wa mji wa Oni, alimzalia Yosefu wana wawili: Manase na Efraimu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Huko Misri, Asenathi, binti Potifera, aliyekuwa kuhani wa mji wa Oni, alimzalia Yosefu wana wawili: Manase na Efraimu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Huko Misri, Asenathi, binti Potifera, aliyekuwa kuhani wa mji wa Oni, alimzalia Yosefu wana wawili: Manase na Efraimu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Huko Misri, Asenathi binti Potifera, aliyekuwa kuhani wa mji wa Oni, alimzalia Yusufu wana wawili: Manase na Efraimu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Huko Misri, Asenathi binti wa Potifera, aliyekuwa kuhani wa mji wa Oni, alimzalia Yusufu wana wawili, Manase na Efraimu.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 46:20
15 Marejeleo ya Msalaba  

Farao akamwita Yusufu, Safenath-panea; akamwoza Asenathi, binti Potifera, kuhani wa Oni, kuwa mkewe. Na Yusufu akaenda huku na huko katika nchi yote ya Misri.


Wana wa Raheli, mkewe Yakobo, Yusufu na Benyamini.


Ikawa, baada ya mambo hayo, Yusufu akaambiwa, Tazama, baba yako ni mgonjwa; akawatwaa wanawe wawili, Manase na Efraimu, pamoja naye.


Akawabariki siku ile akisema, Katika ninyi Waisraeli watabariki, wakisema, Mungu na akufanye kama Efraimu na kama Manase. Akamweka Efraimu mbele ya Manase.


Vijana wa Oni, na wa Pi-besethi, wataanguka kwa upanga; na miji hiyo itakwenda utumwani.


Kwa kuwa wana wa Yusufu walikuwa makabila mawili, Manase na Efraimu; nao hawakuwapa Walawi sehemu katika hiyo nchi, isipokuwa waliwapa miji wapate kuikaa, pamoja na viunga vyake kwa ajili ya mifugo wao, na kwa ajili ya riziki zao.


Hii ndiyo sehemu waliyopewa kabila la Manase; maana, yeye alikuwa ni mzaliwa wa kwanza, wa Yusufu. Na Makiri, mzaliwa wa kwanza wa Manase, babaye Gileadi, kwa sababu alikuwa mtu wa vita, basi alikuwa na Gileadi na Bashani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo