Mwanzo 46:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Mungu akanena na Israeli katika ndoto ya usiku, akasema, Yakobo, Yakobo. Akasema, Mimi hapa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Mungu akaongea na Israeli katika maono usiku, akamwita, “Yakobo! Yakobo!” Yakobo akaitika, “Naam nasikiliza.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Mungu akaongea na Israeli katika maono usiku, akamwita, “Yakobo! Yakobo!” Yakobo akaitika, “Naam nasikiliza.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Mungu akaongea na Israeli katika maono usiku, akamwita, “Yakobo! Yakobo!” Yakobo akaitika, “Naam nasikiliza.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Mungu akanena na Israeli katika maono usiku na kusema, “Yakobo! Yakobo!” Akamjibu, “Mimi hapa.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Mungu akanena na Israeli katika maono usiku na kusema, “Yakobo! Yakobo!” Akajibu, “Mimi hapa.” Tazama sura |