Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mwanzo 46:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

18 Hao ndio wana wa Zilpa, ambaye Labani alimpa Lea, binti yake, naye akamzalia Yakobo hao, watu kumi na sita.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Hawa kumi na sita ni watoto na wajukuu wa Yakobo na Zilpa, mjakazi ambaye Labani alimpa Lea, binti yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Hawa kumi na sita ni watoto na wajukuu wa Yakobo na Zilpa, mjakazi ambaye Labani alimpa Lea, binti yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Hawa kumi na sita ni watoto na wajukuu wa Yakobo na Zilpa, mjakazi ambaye Labani alimpa Lea, binti yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Hawa ndio watoto Zilpa aliomzalia Yakobo, ambaye Labani alimpa binti yake Lea; jumla yao walikuwa kumi na sita.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Hawa ndio watoto Zilpa aliomzalia Yakobo, ambao Labani alimpa binti yake Lea; jumla yao walikuwa kumi na sita.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 46:18
6 Marejeleo ya Msalaba  

Labani akampa Lea mjakazi wake Zilpa, awe mjakazi wake.


Wana wa Zilpa, kijakazi wa Lea, ni Gadi na Asheri. Hawa ndio wana wa Yakobo aliozaliwa katika Padan-aramu.


Na wana wa Asheri; Imna, na Ishva, na Ishvi, na Beria, na Sera, dada yao. Na wana wa Beria ni Heberi, na Malkieli.


Wana wa Raheli, mkewe Yakobo, Yusufu na Benyamini.


na Dani, na Naftali, na Gadi, na Asheri.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo