Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mwanzo 46:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 Na wana wa Asheri; Imna, na Ishva, na Ishvi, na Beria, na Sera, dada yao. Na wana wa Beria ni Heberi, na Malkieli.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Asheri na wanawe: Imna, Ishva, Ishvi, Beria na Sera, dada yao. Beria na wanawe: Heberi na Malkieli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Asheri na wanawe: Imna, Ishva, Ishvi, Beria na Sera, dada yao. Beria na wanawe: Heberi na Malkieli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Asheri na wanawe: Imna, Ishva, Ishvi, Beria na Sera, dada yao. Beria na wanawe: Heberi na Malkieli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Wana wa Asheri ni: Imna, Ishva, Ishvi, na Beria. Dada yao alikuwa Sera. Wana wa Beria ni: Heberi na Malkieli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Wana wa Asheri ni: Imna, Ishva, Ishvi na Beria. Dada yao alikuwa Sera. Wana wa Beria ni: Heberi na Malkieli.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 46:17
10 Marejeleo ya Msalaba  

Lea akasema, Ni heri mimi, maana wanawake wataniita heri. Akamwita jina lake Asheri.


Wana wa Zilpa, kijakazi wa Lea, ni Gadi na Asheri. Hawa ndio wana wa Yakobo aliozaliwa katika Padan-aramu.


Hao ndio wana wa Zilpa, ambaye Labani alimpa Lea, binti yake, naye akamzalia Yakobo hao, watu kumi na sita.


Asheri, chakula chake kitakuwa kinono, Naye atatoa tunu za kifalme.


na Dani, na Yusufu, na Benyamini, na Naftali, na Gadi, na Asheri.


Wa Asheri; Pagieli mwana wa Okirani.


Na Asheri akamnena, Na abarikiwe Asheri kwa watoto; Na akubaliwe katika nduguze, Na achovye mguu wake katika mafuta.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo