Mwanzo 45:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Israeli akasema, Yatosha! Yusufu mwanangu angali hai; nitakwenda, nionane naye kabla sijafa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Israeli akasema, “Sasa nimeridhika; mwanangu Yosefu yu hai! Nitakwenda nimwone kabla sijafa.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Israeli akasema, “Sasa nimeridhika; mwanangu Yosefu yu hai! Nitakwenda nimwone kabla sijafa.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Israeli akasema, “Sasa nimeridhika; mwanangu Yosefu yu hai! Nitakwenda nimwone kabla sijafa.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Ndipo Israeli akasema, “Nimesadiki! Mwanangu Yusufu bado yu hai. Nitaenda nikamwone kabla sijafa.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Ndipo Israeli akasema, “Nimesadiki! Mwanangu Yusufu bado yu hai. Nitakwenda nikamwone kabla sijafa.” Tazama sura |