Mwanzo 45:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Akaagana na ndugu zake, wakaenda zao; naye akawaambia, Msigombane njiani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Basi, Yosefu akaagana na ndugu zake. Walipokuwa wanaondoka aliwaonya akisema, “Msigombane njiani!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Basi, Yosefu akaagana na ndugu zake. Walipokuwa wanaondoka aliwaonya akisema, “Msigombane njiani!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Basi, Yosefu akaagana na ndugu zake. Walipokuwa wanaondoka aliwaonya akisema, “Msigombane njiani!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Akaagana na ndugu zake walipokuwa wakiondoka, akawaambia, “Msigombane njiani!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Akaagana na ndugu zake walipokuwa wakiondoka, akawaambia, “Msigombane njiani!” Tazama sura |