Mwanzo 45:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Ndivyo walivyofanya wana wa Israeli. Yusufu akawapa magari kama Farao alivyoamuru, akawapa na chakula cha njiani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Basi, wana wa Israeli wakafanya kama walivyoagizwa. Yosefu akawapa magari kulingana na maagizo ya Farao na chakula cha njiani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Basi, wana wa Israeli wakafanya kama walivyoagizwa. Yosefu akawapa magari kulingana na maagizo ya Farao na chakula cha njiani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Basi, wana wa Israeli wakafanya kama walivyoagizwa. Yosefu akawapa magari kulingana na maagizo ya Farao na chakula cha njiani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Hivyo wana wa Israeli wakafanya hivyo. Yusufu akawapa magari ya kukokotwa kama Farao alivyoagiza, na pia akawapa chakula cha safari yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Hivyo wana wa Israeli wakafanya hivyo. Yusufu akawapa magari ya kukokotwa, kama Farao alivyoagiza, pia akawapa mahitaji kwa ajili ya safari yao. Tazama sura |