Mwanzo 45:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Akaanguka shingoni mwa ndugu yake Benyamini, akalia; Benyamini naye akalia shingoni mwake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Kisha Yosefu akamkumbatia Benyamini, nduguye, akalia; Benyamini naye akalia, huku wamekumbatiana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Kisha Yosefu akamkumbatia Benyamini, nduguye, akalia; Benyamini naye akalia, huku wamekumbatiana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Kisha Yosefu akamkumbatia Benyamini, nduguye, akalia; Benyamini naye akalia, huku wamekumbatiana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Ndipo akamkumbatia Benyamini ndugu yake na kulia, naye Benyamini akamkumbatia akilia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Ndipo akamkumbatia Benyamini ndugu yake na kulia, naye Benyamini akamkumbatia akilia. Tazama sura |