Mwanzo 44:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Ukatuambia watumwa wako, Mleteni kwangu, ili macho yangu yamwangalie. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Bwana, ulituagiza sisi watumishi wako kumleta huyo mdogo wetu upate kumwona. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Bwana, ulituagiza sisi watumishi wako kumleta huyo mdogo wetu upate kumwona. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Bwana, ulituagiza sisi watumishi wako kumleta huyo mdogo wetu upate kumwona. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 “Ndipo ulipowaambia watumishi wako, ‘Mleteni kwangu ili niweze kumwona kwa macho yangu mwenyewe.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 “Ndipo ulipowaambia watumishi wako, ‘Mleteni kwangu ili niweze kumwona kwa macho yangu mwenyewe.’ Tazama sura |
Na sasa, tazama, nakufungulia leo minyororo hii iliyo mikononi mwako. Kama ukiona ni vema kwenda Babeli pamoja nami, haya! Njoo, nami nitakutunza sana; lakini kama ukiona ni vibaya kwenda Babeli pamoja nami, basi, acha; tazama, nchi yote iko mbele yako; palipo pema machoni pako na pa kukufaa, nenda huko.