Mwanzo 44:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Wakafanya haraka, wakashusha kila mtu gunia lake, na kufungua kila mtu gunia lake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Basi, kila mmoja akashusha gunia lake chini haraka na kulifungua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Basi, kila mmoja akashusha gunia lake chini haraka na kulifungua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Basi, kila mmoja akashusha gunia lake chini haraka na kulifungua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Kila mmoja wao akafanya haraka kushusha gunia lake chini na kulifungua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Kila mmoja wao akafanya haraka kushusha gunia lake chini na kulifungua. Tazama sura |