Mwanzo 43:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC31 Akanawa uso, akatoka, akajizuia, akasema, Leteni chakula. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Baada ya kunawa uso wake, alitoka huku akijikaza, akaamuru chakula kiletwe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Baada ya kunawa uso wake, alitoka huku akijikaza, akaamuru chakula kiletwe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Baada ya kunawa uso wake, alitoka huku akijikaza, akaamuru chakula kiletwe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Baada ya kunawa uso wake, akarudi; huku akijizuia kulia, akasema, “Pakueni chakula.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Baada ya kunawa uso wake, akatoka nje na huku akijizuia akasema, “Pakueni chakula.” Tazama sura |