Mwanzo 43:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Yule mtu akafanya kama Yusufu alivyomwambia Naye akawaleta watu hao nyumbani mwa Yusufu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Msimamizi huyo akafanya kama alivyoagizwa: Akawapeleka wale wageni nyumbani kwa Yosefu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Msimamizi huyo akafanya kama alivyoagizwa: Akawapeleka wale wageni nyumbani kwa Yosefu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Msimamizi huyo akafanya kama alivyoagizwa: akawapeleka wale wageni nyumbani kwa Yosefu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Msimamizi akafanya kama Yusufu alivyomwambia na akawachukua wale watu nyumbani mwa Yusufu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Yule Msimamizi akafanya kama Yusufu alivyomwambia na akawachukua wale watu nyumbani kwa Yusufu. Tazama sura |