Mwanzo 42:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Basi ndugu kumi wa Yusufu wakashuka Misri ili wanunue nafaka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Hivyo ndugu kumi wa Yosefu wakaenda Misri kununua nafaka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Hivyo ndugu kumi wa Yosefu wakaenda Misri kununua nafaka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Hivyo ndugu kumi wa Yosefu wakaenda Misri kununua nafaka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Ndipo ndugu kumi wa Yusufu wakateremka huko Misri kununua nafaka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Ndipo wale ndugu kumi wa Yusufu, wakateremka huko Misri kununua nafaka. Tazama sura |