Mwanzo 42:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Yusufu akawaambia, Ndivyo nilivyowaambia, nikisema, Wapelelezi ninyi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Lakini Yosefu akawaambia, “Ni kama nilivyosema: Nyinyi ni wapelelezi tu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Lakini Yosefu akawaambia, “Ni kama nilivyosema: Nyinyi ni wapelelezi tu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Lakini Yosefu akawaambia, “Ni kama nilivyosema: nyinyi ni wapelelezi tu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Yusufu akawaambia, “Kama nilivyowaambia: Ninyi ni wapelelezi! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Yusufu akawaambia, “Ni sawa kabisa kama nilivyowaambia: Ninyi ni wapelelezi! Tazama sura |