Mwanzo 42:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Akawaambia, Sivyo, mmekuja ili mwuone utupu wa nchi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Lakini Yosefu akasisitiza, “Sivyo! Mmekuja hapa ili kupeleleza udhaifu wa nchi yetu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Lakini Yosefu akasisitiza, “Sivyo! Mmekuja hapa ili kupeleleza udhaifu wa nchi yetu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Lakini Yosefu akasisitiza, “Sivyo! Mmekuja hapa ili kupeleleza udhaifu wa nchi yetu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Akawaambia, “La, hasha! Mmekuja kuangalia mahali nchi yetu haina ulinzi.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Akawaambia, “La hasha! Mmekuja kuangalia mahali ambapo nchi yetu haina ulinzi.” Tazama sura |