Mwanzo 42:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Sisi sote ni wana wa mtu mmoja tu watu wa kweli sisi; watumwa wako si wapelelezi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Sisi ni ndugu, wana wa baba mmoja. Sisi ni watu waaminifu, na wala si wapelelezi.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Sisi ni ndugu, wana wa baba mmoja. Sisi ni watu waaminifu, na wala si wapelelezi.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Sisi ni ndugu, wana wa baba mmoja. Sisi ni watu waaminifu, na wala si wapelelezi.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Sisi sote ni wana wa baba mmoja. Watumishi wako ni watu waaminifu, wala sio wapelelezi.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Sisi sote ni wana wa baba mmoja. Watumishi wako ni watu waaminifu, wala sio wapelelezi.” Tazama sura |