Mwanzo 42:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Wakamwambia, Hasha, bwana, watumwa wako tumekuja ili tununue chakula. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Wao wakamjibu, “Sivyo, bwana wetu. Sisi watumishi wako tumekuja kununua chakula. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Wao wakamjibu, “Sivyo, bwana wetu. Sisi watumishi wako tumekuja kununua chakula. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Wao wakamjibu, “Sivyo, bwana wetu. Sisi watumishi wako tumekuja kununua chakula. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Wakamjibu, “Sivyo, bwana. Watumishi wako wamekuja kununua chakula. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Wakamjibu, “Sivyo bwana wangu. Watumishi wako wamekuja kununua chakula. Tazama sura |