Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 41:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 Farao akamwambia Yusufu, Katika ndoto yangu nilikuwa nimesimama ukingoni mwa mto;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Hapo Farao akamwambia Yosefu, “Niliota kwamba nimesimama kando ya mto Nili,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Hapo Farao akamwambia Yosefu, “Niliota kwamba nimesimama kando ya mto Nili,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Hapo Farao akamwambia Yosefu, “Niliota kwamba nimesimama kando ya mto Nili,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Kisha Farao akamwambia Yusufu, “Katika ndoto yangu nilikuwa nimesimama ukingoni mwa Mto Naili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Kisha Farao akamwambia Yusufu, “Katika ndoto yangu nilikuwa nimesimama ukingoni mwa Mto Naili,

Tazama sura Nakili




Mwanzo 41:17
2 Marejeleo ya Msalaba  

Yusufu akamjibu Farao, akisema, Si mimi; Mungu atampa Farao majibu ya amani.


na tazama, ng'ombe saba wanatoka mtoni, wanono, wazuri, wakajilisha nyasini.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo