Mwanzo 40:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Lakini huyo mkuu wa wanyweshaji hakumkumbuka Yusufu, alimsahau. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Hata hivyo, yule mtunza vinywaji mkuu akamsahau Yosefu, badala ya kumkumbuka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Hata hivyo, yule mtunza vinywaji mkuu akamsahau Yosefu, badala ya kumkumbuka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Hata hivyo, yule mtunza vinywaji mkuu akamsahau Yosefu, badala ya kumkumbuka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Lakini mnyweshaji mkuu hakumkumbuka Yusufu, bali alimsahau. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Pamoja na hayo, mnyweshaji mkuu hakumkumbuka Yusufu, bali alimsahau. Tazama sura |