Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 40:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

21 Akamrudisha mkuu wa wanyweshaji katika kazi yake ya kunywesha, naye akampa Farao kikombe mkononi mwake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Kisha akamrudishia cheo chake mtunza vinywaji, apate kumpatia Farao kikombe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Kisha akamrudishia cheo chake mtunza vinywaji, apate kumpatia Farao kikombe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Kisha akamrudishia cheo chake mtunza vinywaji, apate kumpatia Farao kikombe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Ndipo akamrudisha mnyweshaji mkuu kwenye nafasi yake, ili aweke kikombe mkononi mwa Farao tena.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Ndipo akamrudisha mnyweshaji mkuu kwenye nafasi yake, ili aweke kikombe mikononi mwa Farao tena,

Tazama sura Nakili




Mwanzo 40:21
6 Marejeleo ya Msalaba  

Baada ya siku tatu Farao atakiinua kichwa chako, atakurudisha katika kazi yako; nawe utampa Farao kikombe mkononi mwake, kama desturi ya kwanza, ulipokuwa mnyweshaji wake.


Farao akawaghadhibikia maofisa wake wawili, mkuu wa wanyweshaji na mkuu wa waokaji.


Ikawa, kama vile alivyotufasiria ndivyo ilivyotokea; mimi nilirudishwa katika kazi yangu, na yeye alitundikwa.


Ee Bwana, nakusihi, litege sikio lako, uyasikilize maombi ya mtumishi wako, na maombi ya watumishi wako, wanaofurahi kulicha jina lako; nakuomba sana; unifanikishe mimi, mtumishi wako, leo, ukanijalie rehema mbele ya mtu huyu. (Maana, nilikuwa mnyweshaji wa mfalme).


Ikawa katika mwezi wa Nisani, mwaka wa ishirini wa mfalme Artashasta, na divai imewekwa mbele yake, nikaishika ile divai, nikampa mfalme. Nami mpaka sasa sikuwa na huzuni mbele ya mfalme wakati wowote.


Hadi wakati wa kuwadia neno lake, Ahadi ya BWANA ilimjaribu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo