Mwanzo 40:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Baada ya siku tatu Farao atakiinua na kukuondolea kichwa chako, na kukutundika juu ya mti, na ndege watakula nyama yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Baada ya siku tatu Farao atakunyanyua kutoka gerezani, atakiinua kichwa chako akutundike mtini, nao ndege wataula mwili wako.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Baada ya siku tatu Farao atakunyanyua kutoka gerezani, atakiinua kichwa chako akutundike mtini, nao ndege wataula mwili wako.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Baada ya siku tatu Farao atakunyanyua kutoka gerezani, atakiinua kichwa chako akutundike mtini, nao ndege wataula mwili wako.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Baada ya siku tatu, Farao atakata kichwa chako na kukutundika juu ya mti. Nao ndege watakula nyama ya mwili wako.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Katika siku hizi tatu, Farao atakata kichwa chako na kukutundika juu ya mti. Nao ndege watakula nyama ya mwili wako.” Tazama sura |