Mwanzo 4:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 BWANA akamwambia Kaini, Yuko wapi Habili ndugu yako? Akasema, Sijui, kwani mimi ni mlinzi wa ndugu yangu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Mwenyezi-Mungu akamwuliza Kaini, “Ndugu yako Abeli yuko wapi?” Kaini akamjibu, “Mimi sijui! Je, mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Mwenyezi-Mungu akamwuliza Kaini, “Ndugu yako Abeli yuko wapi?” Kaini akamjibu, “Mimi sijui! Je, mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Mwenyezi-Mungu akamwuliza Kaini, “Ndugu yako Abeli yuko wapi?” Kaini akamjibu, “Mimi sijui! Je, mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kisha Mwenyezi Mungu akamuuliza Kaini, “Ndugu yako Habili yuko wapi?” Akamjibu, “Sijui. Je, mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kisha bwana akamuuliza Kaini, “Ndugu yako Habili yuko wapi?” Akamjibu, “Sijui, je, mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?” Tazama sura |