Mwanzo 4:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 BWANA akamwambia Kaini, Kwa nini una ghadhabu? Na kwa nini uso wako umekunjamana? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Mwenyezi-Mungu akamwambia Kaini, “Kwa nini umekasirika, na kwa nini uso wako umekunjamana? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Mwenyezi-Mungu akamwambia Kaini, “Kwa nini umekasirika, na kwa nini uso wako umekunjamana? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Mwenyezi-Mungu akamwambia Kaini, “Kwa nini umekasirika, na kwa nini uso wako umekunjamana? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Kisha Mwenyezi Mungu akamwambia Kaini, “Kwa nini umekasirika? Kwa nini uso wako una huzuni? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Kisha bwana akamwambia Kaini, “Kwa nini umekasirika? Kwa nini uso wako una huzuni? Tazama sura |