Mwanzo 4:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Ikawa hatimaye Kaini akaleta mazao ya ardhi, sadaka kwa BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Baada ya muda fulani, Kaini alimtolea Mwenyezi-Mungu sadaka kutokana na mazao ya shambani, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Baada ya muda fulani, Kaini alimtolea Mwenyezi-Mungu sadaka kutokana na mazao ya shambani, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Baada ya muda fulani, Kaini alimtolea Mwenyezi-Mungu sadaka kutokana na mazao ya shambani, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Baada ya muda, Kaini akaleta baadhi ya mazao ya shamba ikiwa sadaka kwa Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Baada ya muda Kaini akaleta baadhi ya mazao ya shamba kama sadaka kwa bwana. Tazama sura |