Mwanzo 4:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Kaini akatoka mbele za uso wa BWANA, akakaa katika nchi ya Nodi, Mashariki mwa Edeni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Kisha Kaini akaondoka mbele ya Mwenyezi-Mungu, akawa anaishi katika nchi ya Nodi, upande wa mashariki wa Edeni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Kisha Kaini akaondoka mbele ya Mwenyezi-Mungu, akawa anaishi katika nchi ya Nodi, upande wa mashariki wa Edeni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Kisha Kaini akaondoka mbele ya Mwenyezi-Mungu, akawa anaishi katika nchi ya Nodi, upande wa mashariki wa Edeni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Kwa hiyo Kaini akaondoka mbele za Mwenyezi Mungu, akaenda kuishi katika nchi ya Nodi, mashariki mwa Edeni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Kwa hiyo Kaini akaondoka mbele za bwana akaenda kuishi katika nchi ya Nodi, iliyoko mashariki ya Edeni. Tazama sura |