Mwanzo 4:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Akasema, Umefanya nini? Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Mwenyezi-Mungu akasema, “Umefanya nini? Damu ya ndugu yako yanililia kutoka udongoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Mwenyezi-Mungu akasema, “Umefanya nini? Damu ya ndugu yako yanililia kutoka udongoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Mwenyezi-Mungu akasema, “Umefanya nini? Damu ya ndugu yako yanililia kutoka udongoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Mwenyezi Mungu akasema, “Umefanya nini? Sikiliza! Damu ya ndugu yako inanililia mimi kutoka ardhini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 bwana akasema, “Umefanya nini? Sikiliza! Damu ya ndugu yako inanililia mimi kutoka ardhini. Tazama sura |