Mwanzo 39:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Lakini BWANA akawa pamoja na Yusufu, akamfadhili, akampa kibali machoni pa mkuu wa gereza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Lakini hata humo gerezani Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja na Yosefu akimfadhili hata kumfanya apendeke mbele ya mkuu wa gereza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Lakini hata humo gerezani Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja na Yosefu akimfadhili hata kumfanya apendeke mbele ya mkuu wa gereza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Lakini hata humo gerezani Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja na Yosefu akimfadhili hata kumfanya apendeke mbele ya mkuu wa gereza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Mwenyezi Mungu alikuwa pamoja naye, akamhurumia na kumpa kibali mbele ya msimamizi wa gereza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 bwana alikuwa pamoja naye, akamhurumia na kumpa kibali mbele ya msimamizi wa gereza. Tazama sura |