Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 39:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 Bwana wake akamtwaa Yusufu, akamtia gerezani, mahali wafungwa wa mfalme walimokuwa wamefungiwa, naye akawa humo gerezani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 akamchukua Yosefu na kumtia gerezani, mahali walipofungwa wahalifu wa mfalme.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 akamchukua Yosefu na kumtia gerezani, mahali walipofungwa wahalifu wa mfalme.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 akamchukua Yosefu na kumtia gerezani, mahali walipofungwa wahalifu wa mfalme.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Potifa akamchukua Yusufu na kumtia gerezani, mahali wahalifu wa mfalme walipokuwa wamefungwa. Lakini Yusufu alipokuwa huko gerezani,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Potifa akamchukua Yusufu na kumweka gerezani, mahali ambapo wahalifu wa mfalme walikuwa wamefungwa. Lakini wakati Yusufu alipokuwa huko gerezani,

Tazama sura Nakili




Mwanzo 39:20
11 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa sababu hakika niliibwa kutoka nchi ya Waebrania, wala hapa sikutenda jambo lolote hata wanitie gerezani.


Maana hasira ya binadamu itakusifu, Masalio ya hasira utajifunga kama mshipi.


Kwa kuonewa na kuhukumiwa aliondolewa; Na maisha yake ni nani angeyajali? Maana amekatiliwa mbali na nchi ya walio hai; Alipigwa kwa sababu ya makosa ya watu wangu.


Nao wakuu wakamkasirikia Yeremia, wakampiga, wakamtia gerezani katika nyumba ya Yonathani, mwandishi; kwa maana ndiyo waliyoifanya kuwa gereza.


Nami katika hiyo nimeteswa hata kufungwa kama mtenda mabaya; lakini neno la Mungu halifungwi.


wengine walijaribiwa kwa dhihaka na mapigo, naam, kwa minyororo, na kwa kutiwa gerezani;


Maana huu ndio wema hasa, mtu akivumilia huzuni kwa kumkumbuka Mungu, pale ateswapo pasipo haki.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo