Mwanzo 39:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Naye akamwambia maneno yayo hayo, akisema, Yule mtumwa Mwebrania uliyemleta kwetu, aliingia kwangu anidhihaki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Akamsimulia kisa kile akisema, “Huyu mtumishi Mwebrania uliyemleta kwetu alinijia ili kuniaibisha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Akamsimulia kisa kile akisema, “Huyu mtumishi Mwebrania uliyemleta kwetu alinijia ili kuniaibisha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Akamsimulia kisa kile akisema, “Huyu mtumishi Mwebrania uliyemleta kwetu alinijia ili kuniaibisha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Mwanamke akamweleza mumewe kisa hiki, akisema: “Yule mtumwa Mwebrania uliyemleta kwetu alinijia ili kunidhihaki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Ndipo akamweleza kisa hiki, akisema: “Yule mtumwa wa Kiebrania uliyetuletea alinijia ili kunidhihaki. Tazama sura |