Mwanzo 39:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Basi akaiweka ile nguo kwake hata bwana wake aje nyumbani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Basi, yule mwanamke akaliweka vazi hilo mpaka mumewe aliporudi nyumbani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Basi, yule mwanamke akaliweka vazi hilo mpaka mumewe aliporudi nyumbani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Basi, yule mwanamke akaliweka vazi hilo mpaka mumewe aliporudi nyumbani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Yule mwanamke akaliweka lile vazi karibu naye hadi Potifa aliporudi nyumbani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Yule mwanamke akaliweka lile vazi karibu naye mpaka Potifa aliporudi nyumbani. Tazama sura |