Mwanzo 39:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Ikawa, siku moja, akaingia nyumbani afanye kazi yake, na hapakuwa na mtu yeyote kati ya wale wa nyumbani karibu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Siku moja, Yosefu aliingia nyumbani kufanya kazi yake kama kawaida, na wafanyakazi wengine hawakuwamo nyumbani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Siku moja, Yosefu aliingia nyumbani kufanya kazi yake kama kawaida, na wafanyakazi wengine hawakuwamo nyumbani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Siku moja, Yosefu aliingia nyumbani kufanya kazi yake kama kawaida, na wafanyakazi wengine hawakuwamo nyumbani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Siku moja Yusufu akaingia ndani ya nyumba kufanya kazi zake, wala hapakuwa mfanyakazi yeyote ndani ya nyumba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Siku moja Yusufu akaingia ndani ya nyumba kufanya kazi zake, wala hapakuwepo na mfanyakazi yeyote ndani ya nyumba. Tazama sura |